Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority
"I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🥹
Guys it's ok to be selfish and self centered...
Chadema na uongozi wenu jengeni chama mstumie muda mwingi kurumbana muda ni mdogo whoever atagombea urais ataliwa kichwa bora mkagombee kwenye majimbo tupate wabunge wa kujenga hoja. Hakuna wa...
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM
Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa
Shehe Musa Hassan, Hussein...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie.
Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi.
Ukweli ni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.