Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.
Hii...
Habari wana JF.
Leo katika tafakari zangu nimejiuliza kwanini vijana wengi au watu wengi wanakwama sana au wanaogopa kuthubutu, nikapata majibu kwamba:-
1. Wengi wetu hatujiamini katika kile...
Lengo kuu ukiachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua watu ndani ya Israel wengi kadri iwezekanavyo, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha ili kuoata matokeo makubwa...
Iko hivi,
nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa.
Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka...
Aiseeee kuna mambo ambayo yakifanyika mpaka unaogopa, nipo maeneo ya Mbezi na askari wa MP wamewapigisha kwata dereva na konda wake. Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumeshauri wakampime...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya...
Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie.
Kaka mwenye nafasi kubwa kwenye maamuzi ana mke ambae kamshika sana masikio.
Mwanzoni aliingiza ndugu yake dereva, akaja kumuingiza...
Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.