Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau habar? Nimepata wazo la kufanya bishara ya mchele/mpunga. Kama kuna mdau humu anaifanya naomba ushauri ; Je ipi bora zaid Kununua mpunga kuweka store kisha unauza badae? Kununua mchele...
1 Reactions
8 Replies
817 Views
1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa...
2 Reactions
14 Replies
255 Views
Salaam wandugu, Mheshimiwa ameongea kwa uchungu kwamba akipata nafasi ya kufanya maamuzi wanafunzi hawatapata boom kwani wanalitumia vibaya na hawasomi. Anasema ikibidi sana watoto hawa wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimekuwa nasikia watu wakiongea EFD mara TRA wamepiga watu adhabu kuhusu EFD ila sina uelewa wa kutosha sababu mimi ni kweli nanunua bidhaa na kuna wakati napewa hizo risiti wanazosema za EFD na...
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
5 Reactions
140 Replies
3K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30. 1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi...
9 Reactions
39 Replies
738 Views
Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
13 Reactions
72 Replies
1K Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
14 Reactions
78 Replies
871 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,258
Posts
49,598,381
Back
Top Bottom