Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Salaam,shalom,
Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo.
Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi...
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto
"Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya...
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani...
Wakuu,,
Baada ya kufuatilia kwa muda kidogo na kufahamu kuwa Bongo FMradio ya sasa ndio iliyokuwa TBC FM nimejikuta nawaza kwanini watangazaji kama Dijaro Arungu(Baba Mzazi) na Miriam Migomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.