Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Onsat on 3 ni moja Kati ya ving'amuzi visivyo vya kulipia kwa mwezi yaani Frre To Air Receiver ambayo itakuwezesha kutazama chaneli nyingi bila malipo yoyote kwa mwenzio unachotakiwa kujua Ni kuwa...
Kampuni ya COSCO Shipping, ambayo ni mali ya serikali ya China, imeanzisha meli kubwa zaidi inayoitwa Green Water 01.
Meli hii kubwa, yenye uzito wa zaidi ya tani 10,000, inafanya kazi kwa...
Niliyojivunia:
1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa...
Habari ya muda huu!
Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF.
Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi.
Yule dada namfahamu, lakini...
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46,tumegoma kuzeeka,sijui kama mnafahamu sababu.
Iko hivi,kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi,tulikuwa na vita ya iddi Amin ,hata...
Wakuu,
Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu.
Gari nalotaka...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.