Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
72 Reactions
249 Replies
11K Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
2 Reactions
18 Replies
53 Views
Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
8 Reactions
61 Replies
797 Views
Kiwanja kinauzwa mbweni jkt sqm 1000 …. Bei million 130 . Kiwanja kipo karibu na apartment ya simba sports club .. wakubwa plot nzuri Sanaa ngoma haijai maji wala nini .. kwa mawasiliano nicheki pm
0 Reactions
2 Replies
53 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
29 Reactions
143 Replies
2K Views
•Tayari wamechukua udhibiti wa mzizima port •Wanaendelea kuleta vifaa vyao vya kisasa zaidi (of course ni vya kisasa) •Wamechukua GATI number 1 mpaka 7 kwa wasiojua kuhusu Hizo gati wanadhani...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Iko hivi nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa. Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka...
7 Reactions
28 Replies
211 Views
Tundu Lissu ameendelea na Mikutano ya Hadhara na leo yupo wilaya ya Mpwapwa ambapo pamoja na mambo mengine amesema tangu atoe hoja zake siku ya Muungano, Aprili 26, 2024, wamekuwepo watu wengi...
7 Reactions
6 Replies
55 Views
Wakubwa Habari Zenu Mimi Ni Kijana Wa 30+ Na Hivi Karibuni Natarajia Kupata Mtoto Wa Pili, Majaliwa Ya Mwenyezi Mungu. Haya Tujikite Kwenye Mada Hapo Juu, Kwa Jamii Ninayo Ishi Nimeshuhudia...
1 Reactions
9 Replies
118 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,297
Posts
49,599,345
Back
Top Bottom