Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hamna nchi au mkoa utakaokombolewa na Mgeni, neno political will lazima liwe na wazawa ndani yake. Kulaumu haliwezi kuleta tija katika aina yoyote ya mapambano, iwe Ajira, afya, elimu au biashara...
2 Reactions
1 Replies
32 Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
5 Reactions
8 Replies
75 Views
Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza...
0 Reactions
8 Replies
115 Views
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha...
7 Reactions
58 Replies
1K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
69K Views
Nitumie dawa gani ambayo itaua magugu yote ndani ya shamba la mahindi na kuacha mahind intact (selective one)
1 Reactions
6 Replies
225 Views
world always ins't fair. Ulimwengu unabadilika kadri ya saa na dakika zikigonga tik tok muda unakwisha,miaka 10 iliyopita nilikuwa kijana wa makamo niliyependa kusikiliza sana hutuba za upinzani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa Shehe Musa Hassan, Hussein...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
8 Reactions
54 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,191
Posts
49,596,675
Back
Top Bottom