Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mambo ni moto Prof Kabudi wa Tume ya Wariioba enzi zile na Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe wako meza Kuu Kuongoza Mijadala wa Sheria za Uchaguzi Mjadala unafanyika Chuo Kikuu Cha DSM...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanakumbi ⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel...
8 Reactions
35 Replies
941 Views
My Take Naunga mkono hoja,hakuna excuses ya sijui Ardhi yetu sijui ya nani? Lazima Hifadhi Ilindwe.https://radiotadio.co.tz/loliondofm/2024/05/07/453/
0 Reactions
8 Replies
430 Views
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
15 Reactions
124 Replies
4K Views
Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
13 Reactions
77 Replies
1K Views
Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
5 Reactions
42 Replies
375 Views
  • Suggestion
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa...
9 Reactions
39 Replies
526 Views
Tusitegemee mafuta kushuka, bunge la bajeti ni bunge la kuongeza kodi, Tutegemee kuongezeka kwa kodi , huku bei za mafuta kupanda, sasa mwezi huu wa saba, na mwakani mwezi wa saba mafuta yatafika...
5 Reactions
12 Replies
232 Views
Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa
1 Reactions
5 Replies
209 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,266
Posts
49,598,507
Back
Top Bottom