Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi?
Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo.
Mpaka sasa...
Habari wakuu?
Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo.
1. Hali ya hewa
2. Mazao yanayolimwa sana.
3. Hali ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo...
1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa...
Habari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
Wiki hii nzima ilikuwa ni semina na kuanza rasmi kwa rehab kwa ndg yetu Adam Mchomvu kabla ya kuanza kutangaza kipindi cha jahazi.
Demographically, jahazi inasikilizwa na watu wenye umri 30-70...
Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k
Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa...
Huu uzi ilikuwa niuandike muda mrefu kwa mambo niliyojionea kwenye mji wa Tunduma. Kwa ambao hajawahi fika Tunduma wanaweza kudhani ni ka-mji kadogo ambacho kipokipo tu. Kwa sisi wa Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.