Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
14 Reactions
102 Replies
3K Views
Starting from upcoming Msalato International Airport
16 Reactions
1K Replies
92K Views
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na...
9 Reactions
94 Replies
666 Views
Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya Muheza Mh. Zainab Abdallah wameendesha kliniki ya kodi katika viwanja vya Bombani Muheza mkoani Tanga. Kliniki hiyo imefanyika...
0 Reactions
3 Replies
33 Views
Habari ya muda huu! Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF. Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi. Yule dada namfahamu, lakin...
1 Reactions
15 Replies
16 Views
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii...
6 Reactions
22 Replies
618 Views
•Tayari wamechukua udhibiti wa mzizima port •Wanaendelea kuleta vifaa vyao vya kisasa zaidi (of course ni vya kisasa) •wamechukua GATI number 1 mpaka 7 kwa wasiojua kuhusu Hizo gati wanadhani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,157
Posts
49,596,106
Back
Top Bottom