Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii scenario ipoje wakuu ? ( From my close friend's family business) Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie. Kaka mwenye nafasi kubwa kwenye maamuzi ana mke ambae kamshika...
0 Reactions
5 Replies
50 Views
Nilishaona hilo likifanyika nilipokuwa mdogo. Jirani yetu aliyekunywa sumu alinyweshwa mkojo wa binadamu kwa ajili ya kumtapisha. Miaka mingi baadaye, nikiwa nimeshahitumu Chuo, tukio kama hilo...
2 Reactions
8 Replies
101 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
74 Reactions
292 Replies
12K Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
34 Reactions
162 Replies
3K Views
Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula. Hii...
12 Reactions
22 Replies
459 Views
Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
4 Reactions
46 Replies
347 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC 📆 08.05.2024 🏟 Azam complex 🕖01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar mpira umeanza dakika ya 5 0-0 dakika ya...
11 Reactions
153 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo Tarehe 8 May 2024, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu bado yuko Mikoani akihutubia na kufundisha Wananchi kuhusu sheria mbalimbali za Tanzania...
8 Reactions
17 Replies
487 Views
Mm binafsi ni Kuvuta Ganja, kunyonya Mbususu au kula Gambe. Wewe Je?
4 Reactions
52 Replies
288 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,328
Posts
49,600,470
Back
Top Bottom