Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasalaaaaaam wazeee... Juzi jumapili nilitembelewa na mpenzii wangu ambaye tuna miezi tatribani minne toka uhusiani wetu ulipoanza. Sasa tumekaa sitting room kwenye channel flani ikawa inapigwa...
14 Reactions
28 Replies
472 Views
Ikitokea siku hapo ulipo ajiriwa ukikosa kazi Je una sehemu yoyote au mbinu yoyote ya haraka haraka unaweza tumia kuingiza pesa kwaajili ya mahitaji yako muhimu na ya msingi ?
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani...
1 Reactions
9 Replies
10 Views
Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa
3 Reactions
16 Replies
322 Views
Iko hivi, nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa. Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka...
8 Reactions
34 Replies
247 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
73 Reactions
257 Replies
11K Views
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia...
6 Reactions
43 Replies
711 Views
Habari zenu wana jamvi! Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi. Kisa changu kinaanzia hapa; Tangu nilipoacha masomo yangu ya...
3 Reactions
27 Replies
235 Views
Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za...
9 Reactions
83 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,302
Posts
49,599,521
Back
Top Bottom