Yani wewe ubaki na simu yake hlf akupe yake kwa KUTWA MOJA tu.
eti wakuu?
inawezekana au tuwaache kwanza?
maana wengine hamkawii kudai tunawaonea wivu[emoji102]
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM
Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa
Shehe Musa Hassan, Hussein...
kwa mfano,
pisi kali anavaa nguo fupi sana, mabega na mgongo vipo wazi, halafu mpo mahali pa burudani club, na kwa mfano mmeamua kuketi nje sehemu ya wazi na kupata burudani mbalimbali kama vile...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
Habari zenu bwana!.
Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.
Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa...
Ref;-Natafuta mke mkristo,
Ila akiwa msabato na awe anaishi dar es salaam itakuwa poa zaidi.
Awe mwalimu au nurse au kazi yoyote ya serikali,asiwe muhaya au mjita.
Awe na miaka 22-33 asiwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.