Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanazaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
12 Reactions
75 Replies
1K Views
Hapo zamani za kale alikuwepo Profesa mahiri na msema kweli. Aliwahi kuzungumza ukweli kuhusu Tanganyika na kuwa ipatikane sasa kwa hiari isisubiri kama yule Rais wa Romania...
0 Reactions
2 Replies
21 Views
Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah...
3 Reactions
13 Replies
247 Views
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao...
19 Reactions
601 Replies
58K Views
Habari ya muda huu! Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF. Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi. Yule dada namfahamu, lakin...
1 Reactions
21 Replies
127 Views
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi. Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu...
8 Reactions
24 Replies
427 Views
Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo...
1 Reactions
76 Replies
577 Views
Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi
0 Reactions
5 Replies
90 Views
Niliyojivunia 1.Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara.Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi.... -Wakati nipo kwenye basi,nilishuhudia wale jamaa walikuwa...
1 Reactions
5 Replies
17 Views
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa Kuwa na Akili Sana . wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya hongera Sana Max na...
10 Reactions
100 Replies
831 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,164
Posts
49,596,206
Back
Top Bottom