Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
11 Reactions
57 Replies
519 Views
anaongelea ubaya wa muungano mikoani mwambieni afike Tandika Dar es salaam walikojaa wazanzibari aongee huo ujinga wake Aone kama atapigiwa makofi au atazomewa kama mbwa Koko Anaongelea ubaya wa...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Habari wakuu, Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia. Nimeona...
1 Reactions
1 Replies
9 Views
MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha...
1 Reactions
3 Replies
39 Views
Wanakumbi. MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu. Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa...
7 Reactions
89 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC 📆 08.05.2024 🏟 Azam complex 🕖01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar mpira umeanza dakika ya 5 0-0 dakika ya...
13 Reactions
389 Replies
6K Views
/* insert salam here */ Wengi tumewahi kuishi au tunaishi kwenye single room. Leo tupeane tips z kufanya ghetto lako liwe safi na la kuvutia kwako na kwa wageni. [Tips zitatofautiana kutokana na...
8 Reactions
17 Replies
283 Views
Kama ni Habari ya Tanganyika rip mchungaji Mtikila alipeperusha hadi bendera nyumbani kwake pale Ilala na ilikuwa Kawaida tu Kama ni Muungano Maalim Seif rip alijitahidi kuuboresha na Shujaa...
1 Reactions
20 Replies
249 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,337
Posts
49,600,967
Back
Top Bottom