Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa
2 Reactions
12 Replies
209 Views
My Take Naunga mkono hoja,hakuna excuses ya sijui Ardhi yetu sijui ya nani? Lazima Hifadhi Ilindwe.https://radiotadio.co.tz/loliondofm/2024/05/07/453/
3 Reactions
15 Replies
430 Views
Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya...
3 Reactions
13 Replies
145 Views
Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa...
3 Reactions
21 Replies
361 Views
A
Hii Tabia Inabidi Polisi waiache. Polisi wetu wanatabia ya Kutembea Gari lisilokuwa na Plate namba yaani (PT......) HII Tabia ni ya Kihalifu. Kuwa Polisi haikufanyi kuvunja Sheria. Kwa Kutembea...
1 Reactions
3 Replies
6 Views
Wakubwa Habari Zenu Mimi Ni Kijana Wa 30+ Na Hivi Karibuni Natarajia Kupata Mtoto Wa Pili, Majaliwa Ya Mwenyezi Mungu. Haya Tujikite Kwenye Mada Hapo Juu, Kwa Jamii Ninayo Ishi Nimeshuhudia...
0 Reactions
3 Replies
18 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
TANROADS wanachukua RUSHWA Kwa wamachinga na kuwaruhusu kujenga vibanda barabarani
1 Reactions
11 Replies
179 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
5 Reactions
45 Replies
375 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,272
Posts
49,598,614
Back
Top Bottom