Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
24 Reactions
111 Replies
2K Views
Wanakumbi. 🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH Taarifa Rasmi ya Hamas: "Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
2 Reactions
55 Replies
1K Views
Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
11 Reactions
134 Replies
2K Views
Na.Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Saturday 04/05/2024 Mpanda-Katavi Leo nazungumza na wanaotaka kuoa, "Mary who you understand and understand who you marry", ni lazima ujue yupi wa starehe na yupi...
4 Reactions
5 Replies
76 Views
memba unampa makavu laivu anaenda kukuripoti Kwa mods kwakupeleka ushahidi watusi ulilotukana unapigwa ban unaona fleshi kweli nimekosea ban ikiisha unafunguliwa unaendelea namijadala kistaarabu...
0 Reactions
28 Replies
29 Views
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale. Barabara hii imejengwa chini ya viwango. Na tukumbuke waziri aliyehusika...
15 Reactions
113 Replies
3K Views
Hapo nyuma kidogo kwenye mkusanyiko wowote kulikuwa na sehemu iliyotengwa maalum kwa ajili ya wababa na eneo hilo lilikaliwa na wababa tu. na vivyo ivo kwa wamama walikuwa na eneo lao maalum na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Lengo lake lilikuwa kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Zanzibar Kuja Tanganyika na Lengo Nyerere anatakiwa kupewa nishani ya mvutia wawekezaji...
2 Reactions
16 Replies
146 Views
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu. Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia...
3 Reactions
38 Replies
431 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,982
Posts
49,591,082
Back
Top Bottom