Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naandika kwa mara ya nne. TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu. Wamejitahidi...
0 Reactions
19 Replies
356 Views
Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano? Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji...
0 Reactions
11 Replies
113 Views
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha...
6 Reactions
42 Replies
732 Views
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine Nisiwe...
3 Reactions
16 Replies
423 Views
  • Poll
FREEMAN MBOWE TUNDU LISSU JOHN HECHE JINSI YA KUPIGA KURA. 1. Gusa jina la Unayemtaka 2. Shuka chini gusa "Cast Vote" #Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo na masharti kuzingatia.
0 Reactions
13 Replies
152 Views
Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
24 Reactions
108 Replies
2K Views
MBUNGE ESTHER MALLEKO, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoweka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia. Je, ni uvumbuzi wa Tanzania pekee au hadi kwa wenzetu?
3 Reactions
22 Replies
156 Views
Ghafra bin Vuu! Unakutana na Mamba kaking'ang'ania kibunda mdomoni. Utachukua maamuzi gani?
0 Reactions
3 Replies
31 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,978
Posts
49,590,888
Back
Top Bottom