Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie.
Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi.
Ukweli ni...
Salaam wandugu,
Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke...
Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul...
Lengo kuu ukioachana na kujaribu kuiteka Israel October 7 ilikuwa ni kuua raia waisrael wengi kadri iwezekanavyo huku,, Target zilikuwa ni raia wema wasio na silaha kurahisisha zoezi lao...
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.