Jicho langu:Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki
Klabu ya Tabora united katika mchezo wa jana walinyimwa goli la halali katika mchezo wao waligi kuu ya NBCPL waliocheza na Simba katika...
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu
Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni
Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine
Nisiwe...
Habari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
Habari zenu.
Nauza migebuka mikavu na mibichi kutoka kigoma.
Wabichi wanauzwa kwa mmoja sh.1500 na kilo moja sh.11,000
Ipo fresh kabisaaa
Mikavu ipo, kuna mmoja 1000 na 2000
Fungu la wanne kwa...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa katika Sherehe za Kilele cha Mei Mosi Kitaifa, zilizofanyika jijini Arusha alitangaza kuongezeka kwa Siku za likizo kwa Wanawake wanaojifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.