Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi. 2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu. 3. Wanaccm wanalalamikia...
13 Reactions
59 Replies
1K Views
aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake kikichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Jicho langu:Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki Klabu ya Tabora united katika mchezo wa jana walinyimwa goli la halali katika mchezo wao waligi kuu ya NBCPL waliocheza na Simba katika...
1 Reactions
10 Replies
75 Views
Jaribio la kumuondoa uhai limefanyika jana. Na mpaka sasa hakuna report yeyote official ya kinachoendelea iliyotolewa na ufalme wa Saudi Arabia. Saudi Arabia imekua ni mshirika mkubwa wa Marekani...
2 Reactions
12 Replies
380 Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
27 Reactions
395 Replies
5K Views
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale. Barabara hii imejengwa chini ya viwango. Na tukumbuke waziri aliyehusika...
5 Reactions
51 Replies
827 Views
Na ndiyo maana GENTAMYCINE nampenda sana Premier Nentanyahu kwani hana Unafiki, Mbabe na Anajiamini sana.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
15 Reactions
110 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,836
Posts
49,586,797
Back
Top Bottom