Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
16 Reactions
238 Replies
2K Views
DC Shaka awabana 2 Wengine 48 watafutwa na Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko)...
2 Reactions
28 Replies
415 Views
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais. Chukueni hatua...
1 Reactions
86 Replies
1K Views
Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
2 Reactions
75 Replies
2K Views
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha...
1 Reactions
15 Replies
140 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Asubuhi ya leo wakati navua raba nilipotoka mazoezini, ghafla lilinijia wazo la ni nani alikuwa anaivaa raba hiyo kabla haijaletwa Tanzania kama mtumba? Nikaanza kuangalia jinsi mitumba...
11 Reactions
51 Replies
594 Views
Mu Hali gani humu? Tutete kidogo kuhusiana na Rushwa za ngono hasa maofisini. Suala la rushwa ya ngono maofisini limekuwa gumzo Kila kukicha, sasa Kuna sehemu niliketi buana, tulikuwa wanaume na...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Jamani nisaiidieni mwongozo nipulize dawa Gani maana miparachichi yangu inapukutisha matunda yangali machanga!
0 Reactions
17 Replies
406 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,865
Posts
49,587,820
Back
Top Bottom