Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Samahani lakini Kuna kautafiti nafanya nilitaka nijue ratio bara na Visiwani kwenye wabunge wa viti Maalum ikoje Baadae Mlale Unono 😄😄
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Lengo lake lilikuwa kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Zanzibar Kuja Tanganyika na Lengo Nyerere anatakiwa kupewa nishani ya mvutia wawekezaji...
2 Reactions
23 Replies
169 Views
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni...
6 Reactions
15 Replies
77 Views
  • Poll
FREEMAN MBOWE TUNDU LISSU JOHN HECHE JINSI YA KUPIGA KURA. 1. Gusa jina la Unayemtaka 2. Shuka chini gusa "Cast Vote" #Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo na masharti kuzingatia.
0 Reactions
28 Replies
295 Views
Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
2 Reactions
12 Replies
332 Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Salamu ndugu zangu Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye...
54 Reactions
393 Replies
22K Views
Dah, jamaa zigo lote hilo analitizama tu 😃😃
0 Reactions
0 Replies
1 Views
CHECHEFU MAHAKAMANI TENA Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo - ikitetewa na wakili yule...
3 Reactions
13 Replies
951 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views

FORUM STATS

Threads
1,851,985
Posts
49,591,208
Back
Top Bottom