Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.
Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakubwa habari zenu sikuizi sio mkaaji sana umu ila naomba ushauri wa njia ya kunisaidia kuacha pombe nakunywa adi naharibu kazi za watu naombeni ushauri kuhusu hilo wa kimawazo au kisaikolojia
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Lengo lake lilikuwa kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa wa Zanzibar Kuja Tanganyika na Lengo
Nyerere anatakiwa kupewa nishani ya mvutia wawekezaji...
Huyu bwana ni Mzanzibar ameuliza maswali muhimu kwa Watanganyika.Hivyo basi nami,nimeleta kwenu GT kupata majibu ili tuweze kumbaini mchawi wetu alikuwa nani juu kuuzwa kwa Tanganyika yetu...
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amesema Serikali itajenga karakana Kubwa ya kisasa ya kutengeneza Ndege mkoani Kilimanjaro
Mradi huo mkubwa barani Africa utasimamiwa na Chuo Cha Usafirishaji Cha...
Mzuka wanajamvi.
Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.
Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.