Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
2 Reactions
62 Replies
1K Views
Ama kwa Hakika huyu Waziri mkuu wa Slovakia anahitaji kupongezwa. Kwa niaba ya wapenda amani duniani tunakupongeza mno Mr. Robert Fico kwa kukataa maombi ya kifedhuli ya Zelensky na viongozi wa...
4 Reactions
6 Replies
143 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
27 Reactions
321 Replies
6K Views
Tokea saa 12 hatuna umeme kwenu jee Kwenu umeme upo?Kuanzia mbezi,kibamba goba hadi Ubungo maeneo mengi hayana umeme Hili shirika daaah
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari ya muda huu.. Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora. Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi. Kulikuwa na huyo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hello, wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi, makovu, weusi kwenye macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali kama hormones, jua, vyakula n.k...
9 Reactions
111 Replies
3K Views
Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana...
8 Reactions
66 Replies
878 Views
Naandika kwa mara ya nne. TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya nchini Tanzania walipata ufadhili na World Bank (WB) kuajiri watumishi wa afya ajira mkataba wa miaka mitatu. Wamejitahidi...
1 Reactions
33 Replies
523 Views
Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
3 Reactions
60 Replies
887 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,002
Posts
49,591,858
Back
Top Bottom