KIMBUNGA HIDAYA MAWINGUNI WATOTO WANACHEZA MPIRA WA MAKARATASI PEKUPEKU MTAANI
Jioni inakimbilia Maghrib na kama kungekuwa na jua mtu angeweza kuliona limebadilika rangi linaenda kuzama upande wa...
Tanzania ni nchi yetu sote hatuna taifa jingine zaidi ya Mama Tanzania. Tukiwa kama watanzania wenye uchungu na taifa letu hatuna budi kulilinda dhidi ya maadui au chokochoko za aina zote.
Kauli...
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia...
Habari wanajamvi..
Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.
Kwa...
Chekechea na Primary nimesoma english medium private.
Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana.
Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
Timu ya Wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanasimamia zoezi hilo ili mawasiliano katika Barabara Kuu ya Lindi - Dar es Salaama kurejea kwa haraka.
Waziri wa Ujenzi, Bashungwa...
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
source: www.urban municipal council
Utangulizi:
Migahawa ni sehemu muhimu ya tamaduni ya kula katika jamii zetu, lakini mara nyingi hatufahamu yale yanayotendeka nyuma ya pazia. Wakati...
Sikatai hivyo vitu Kwa sehemu kubwa vimeajiri watu wengi na ni matumain ya kila mmoja kuona vinakuwa kwani vina mchango pia ila why vimeshika kasi mno kipindi hiki cha uchaguzi huku tukiwa...
Nimeandika toleo hile lengo tutanuane kimawazo
1.UTT AMIS ni mfuko wa uwekezaji ambao unapata gawio la kila mwezi makadirio 400,000/= mfuko wa bondfund
-hakuna chochote cha kusimamia wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.