Kwa msaada wa wiki pedia
Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika...
Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X
Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Pombe ni tamu sana.
Its Tuesday btw
Yani msomi kama mimi nipo ndani ya taarabu and i dont care.
Mtu amualike janabi kwenye pombe siku moja moja. naona ana miss out.
Janabi nipo na students...
Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza.
Mara...
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa.
Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga
Swali la Mhe. Santiel Eric Kirumba, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.