Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu Nyumba- thaman yake ni milion 12M vyumba vitatu na kimoja cha nje Imefanyiwa wiring bado umeme lakin vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta ty Gari nalotaka...
0 Reactions
11 Replies
12 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Chonde chonde CCM Msishupaze shingo. Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka. Kero hizi...
3 Reactions
32 Replies
558 Views
pure scientific calculator kwa bei ya jumla na rejareja first edition(fx-991MS)Tsh.20,000 second edition (fx-991MS)Tsh25,000 second edition (fx-991ES PLUS)Tsh30,000 izo ni bei za rejareja
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Leo sina mambo mengi kabisa yaan,,ni hivi wakati muhimu kabisa wa kujua siri za mzungumzaji upande wa pili wa simu ni pale mnapomaliza mazungumzo na kukata simu. Yaan mda huo kama utaagana na mtu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi...
13 Reactions
47 Replies
998 Views
WASAFWA NDIO WAZAWA HALISI WA WILAYA ZA JIJI LA MBEYA, KILITOKEA NINI MPAKA WANYAKYUSA WA WILAYA ZA NJE YA JIJI KUFAHAMIKA NDIO WENYEJI? Yani hii Tanzania nzima ukiuliza jiji la Mbeya linakaliwa...
12 Reactions
101 Replies
8K Views
Kwa siku tatu sasa ukitaka kuhakiki ubora Pombe kali konyagi.k vant nk mfumo unatoa mesage.MANTANANCE MODE AU SERVER UNAVAILABILITY TRY AGAON LATER . Vile vili kuna hisia watu kuanza kupata shida...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Kuna makosa mengi tu yenye vifungo vya miaka 30, ama tufanye tu hata miaka 20, Umekutwa na kosa hilo ukilifanya na kuna ushahidi wa kutosha. Ni aidha aliekukamata ama mhusika wa chombo cha...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,006
Posts
49,592,166
Back
Top Bottom