Leo Mei 6, 2024, JamiiForums (JF) imetembelewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael A. Battle, kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi, ambapo amepitishwa kwa...
Ikiwa una changamoto ya upungufu wa damu mwilini zingatia mambo yafuatayo.
1) Usitumie Kahawa, chai wakati wa kula chakula au kunywa dawa za kuongeza damu kwa sababu kahawa/chai huzuia ufyonzwaji...
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie.
Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi.
Ukweli ni...
FREEMAN MBOWE
TUNDU LISSU
JOHN HECHE
JINSI YA KUPIGA KURA.
1. Gusa jina la Unayemtaka
2. Shuka chini gusa "Cast Vote"
#Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo na masharti kuzingatia.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kinachotafsiriwa kuwa ni uchawa kwa sasa miongoni mwa makada wa chama hicho, ni njia mojawapo ya wananchi...
Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta...
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi...
Mzuka wanajamvi.
Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.
Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.