Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi...
5 Reactions
23 Replies
432 Views
Huwa najiuliza ingekuwaje tungepata uhuru mwaka 1919 baada ya Mjerumani kushindwa vita vya kwanza vya duni 1914 hadi 1918. Kumbuka tungekuwa nchi moja na Rwanda na Burundi. Je tungetumia lugha...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
4 Reactions
22 Replies
189 Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
24 Reactions
419 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs Nipo Dar es Salaam Natafuta Mke wa kuoa. Vigezo: ●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌 ○Umri 24-48😎 ●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵 ○If she's...
8 Reactions
51 Replies
665 Views
eti wakuu Tena wengine unakuta ni wa kawaida tu.
0 Reactions
4 Replies
111 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
4 Reactions
108 Replies
952 Views
Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara...
0 Reactions
8 Replies
17 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,905
Posts
49,589,090
Back
Top Bottom