Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais. Chukueni hatua...
0 Reactions
9 Replies
10 Views
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa Jana Kuna movie Moja ya Ki-Nigeria...
2 Reactions
27 Replies
134 Views
  • Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
2 Reactions
17 Replies
413 Views
Jaribio la kumuondoa uhai limefanyika jana. Na mpaka sasa hakuna report yeyote official ya kinachoendelea iliyotolewa na ufalme wa Saudi Arabia. Saudi Arabia imekua ni mshirika mkubwa wa Marekani...
3 Reactions
16 Replies
497 Views
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
15 Reactions
116 Replies
2K Views
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
2 Reactions
19 Replies
181 Views
Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!. yeye akilewa ni amapiano Tu!. atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi...
3 Reactions
8 Replies
16 Views
Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
1 Reactions
6 Replies
102 Views
REKODI YA NGONO DUNIANI LISA SPARKS raia wa Poland ndio anashika rekodi ya mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi duniani Raia huyo alifanya mapenzi na wanaume 919 ndani ya masaa 12...
3 Reactions
16 Replies
628 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,843
Posts
49,586,921
Back
Top Bottom