Habari zakupotezana ndugu zangu Wana JF wenzangu,
Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto...
1.hakikisha una mmudu
hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa
Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari...
Hiki chombo ni mhimili muhum sana katika serikali.
Tukianza na Serikali haina shida
Mahakama haina tatizo
Shida ipo bunge
1. Chombo kinachotumia pesa nyingi bila tija.
2. Wahuni hujikusanya...
Mechi baina ya Simba dhidi ya Azam ndio itakayotoa mwanga ni timu ipi inaweza kucheza klabu bingwa msimu ujao.
Azam wakiwa wameshuka dimbani mara 25 wakijikusanyia alama 57 wanapigana vita dhidi...
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana...
Mimi nina miaka 40 naa... mim miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaan nikipiiga gori langu moja basi mpka keshoo
Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine...
Habari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona...
Mzuka wanajamvi!
Yuko london Ungereza endeleeni sasa kuroga na kumuombea mabaya.
Anachowaombea tu ni mawili muishi maisha marefu na msiwe vipofu.
Kufa hamfi lakini cha moto mnaona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.