Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habarini wadau.... Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu...
1 Reactions
21 Replies
201 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
58 Reactions
573 Replies
8K Views
Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpungu kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele unazidi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam wakuu, Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa...
2 Reactions
5 Replies
71 Views
Namtafuta shamba la kununua morogoro
1 Reactions
8 Replies
145 Views
Haya magaidi mnabaki wenyewe.... People flee the eastern parts of Rafah after the Israeli military began evacuating Palestinian civilians ahead of a threatened assault on the southern Gazan...
0 Reactions
2 Replies
36 Views
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
6 Reactions
46 Replies
422 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
74 Reactions
453 Replies
15K Views
Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za...
4 Reactions
17 Replies
249 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,663
Posts
49,581,140
Members
668,095
Latest member
Pombe chafu
Back
Top Bottom