Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
10 Reactions
61 Replies
1K Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
10 Reactions
145 Replies
3K Views
Habari wadau, i hope wote mpo poa sana. Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa Dar es Salaam. Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi...
10 Reactions
130 Replies
6K Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
74 Reactions
451 Replies
15K Views
wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine. Ile ya kwanza...
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
2 Reactions
163 Replies
1K Views
  • Suggestion
TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA. kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu...
7 Reactions
23 Replies
614 Views
1.hakikisha una mmudu hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari...
8 Reactions
23 Replies
251 Views
1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!" 2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk. 3. Kuna azimio...
1 Reactions
17 Replies
277 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,652
Posts
49,580,924
Members
668,096
Latest member
Pombe chafu
Back
Top Bottom