Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers...
47 Reactions
987 Replies
63K Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
11 Reactions
181 Replies
4K Views
Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
7 Reactions
84 Replies
2K Views
Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi Hakuchukua muda mrefu Chuma inayoshikilia tairi limekatika
2 Reactions
35 Replies
539 Views
JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
1 Reactions
7 Replies
83 Views
Kwanza Kabisa Pascal Mayalla amekiri kwamba yeye ni Mkatoliki aliyetukuka Pili Father Kitima amekiri kufuatilia JF kila siku akipendelea zaidi Jukwaa la Siasa na lile la Elimu Father Kitima...
12 Reactions
67 Replies
2K Views
daaah wakuu kuna mtu kanifuata inbox kaniambia ni HR wa kampuni mpya ya kutengeneza juice ipo chalinze akaniambia nimtumie vyeti nikamtumia, akaniambia kwenye vyeti vyangu kuna sehemu ambapo...
21 Reactions
61 Replies
1K Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
49 Reactions
154 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,783
Posts
49,584,736
Back
Top Bottom