Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam wakuu, Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa...
1 Reactions
2 Replies
21 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
74 Reactions
430 Replies
14K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu...
6 Reactions
21 Replies
539 Views
  • Suggestion
Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapo nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu utu wa Watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na...
22 Reactions
44 Replies
503 Views
hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata me pia? nilidhani ni kwa ke tu... ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia tafadhali, naona...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Habari, kuna ofa ya viwanja kigamboni kibada ni km3 kutoka kibada round about! Huduma zote zipo, kumejengeka Bei sqm 1 Tsh 25,000 cash Sqm1 Tsh 30,000 Mkopo(miez18) Mawasiliano:0746853161
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma...
1 Reactions
8 Replies
9 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Hii imekuwa mpya kwangu katika harakati za kutafuta kibarua. Nimeambiwa niandike proposal ya namna ambavyo nitaweza kuongeza wateja na kukuza biashara. Ni upande wa Administration ya Hotel.
4 Reactions
20 Replies
269 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,641
Posts
49,580,474
Members
668,073
Latest member
Bruno Nemes
Back
Top Bottom