Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu vipi, Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple. Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link...
0 Reactions
5 Replies
138 Views
All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5'...
7 Reactions
154 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni...
0 Reactions
6 Replies
111 Views
https://youtu.be/86vSal-Mwkc?si=QMUDUEam0cbA4C44 My Take Tuhitimishe au tuendelee kuwasubiri wengine?
6 Reactions
22 Replies
170 Views
Makolo wanataka fei afunge pia wanaitaka namba 2 kwenye ligi... hapo ndo wanachanganyikiwa. Je kweli ni akili hizi
6 Reactions
12 Replies
222 Views
Ni kwamba hawa watu wa mtaani kwetu wananiiga au na wao uchumi umewapiga kama Mimi. Ni hivi niliwahi kuandika Uzi hapa nikisema nimeamua kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba...
35 Reactions
87 Replies
6K Views
A
Anonymous
Hivi karibuni niliona kuna andiko lipo JamiiForum kuhusu Shule ya Jakaya Kikwete kuwa Wanafunzi wanalazimishwa kununua karanga utoka kwa Walimu wao, nami nikaona nishee hii kero ninayoiona. Huku...
2 Reactions
4 Replies
22 Views
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana...
8 Reactions
12 Replies
123 Views
Kwema jamani Vyuma vimekaza natamani nipate hata hiyo tenda ya kuandikisha daftari la wapga kura. Ishu ni kwamba cheti cha form four nilipoteza. Je, hakuna namna naweza kupata hii dili...
0 Reactions
13 Replies
331 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,693
Posts
49,581,810
Members
668,116
Latest member
Nunuu ali mohd
Back
Top Bottom