Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika mpango unaolenga kuunga mkono juhudi serikali za kuhakikisha kunakuweko na nyumba za makazi bei, kampuni ya ya RE/MAX na ile ya Coral Property zimezindua mradi wa nyumba mpya za bei nafuu...
1 Reactions
5 Replies
118 Views
All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5'...
7 Reactions
145 Replies
2K Views
Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue...
16 Reactions
65 Replies
2K Views
https://youtu.be/86vSal-Mwkc?si=QMUDUEam0cbA4C44 My Take Tuhitimishe au tuendelee kuwasubiri wengine?
5 Reactions
17 Replies
41 Views
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
14 Reactions
134 Replies
5K Views
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka.. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje...
7 Reactions
52 Replies
418 Views
A
Anonymous
Imeshindwa kwa sababu Chakula hakikutolewa baada ya wazazi kutokuchangia, na walimu wamewazuia wanafunzi kutokuondoka kwenda kula mpaka saa 11:30 jioni, hivyo kushinda shuleni na njaa. Hata ule...
0 Reactions
0 Replies
8 Views
Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita. Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko...
1 Reactions
6 Replies
26 Views
" siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya samora machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni...
0 Reactions
0 Replies
5 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,693
Posts
49,581,810
Members
668,116
Latest member
Nunuu ali mohd
Back
Top Bottom