Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha...
MBUNGE BAHATI NDINGO, Mbunge wa Jimbo la Mbarali Akichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo ya Shilingi Trilioni 1.2 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025
"Natoa pongezi za dhati kwa Wizara ya Kilimo kwa kazi...
Salaam wakuu,
Mimi nasumbuliwa na masikio yote mawili yanauma sana kama vile mtu anasukumiza matambara huko ndani, yakianza kuuma hivyo nasikia na kichwa kinaniuma na ninahisi kizunguzungu kwa...
Ukitaka Tundu Lissu akae na awe Mpole basi mlete nguli wa sheria Mzee wetu Wassira.
Wote Wamarekani hawa
Nitajaribu kumtafuta pale Maktaba kwake aje atufungie huu Mjadala wa Muungano
Kaa Chonjo 😄
1.hakikisha una mmudu
hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa
Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tanzania tunayoitaka ni ile ambayo mawasiliano ni bora na ya kuaminika kwa kila mwananchi. Uhakika wa mawasiliano ni muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yanafikiwa kwa haraka. Ndoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.