Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update...
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa...
Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo.
Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini.
Bigup sana Museven.
Habari wanadamu
Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni?
Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti...
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi.
Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.