Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
daaah wakuu kuna mtu kanifuata inbox kaniambia ni HR wa kampuni mpya ya kutengeneza juice ipo chalinze akaniambia nimtumie vyeti nikamtumia, akaniambia kwenye vyeti vyangu kuna sehemu ambapo...
Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza na rasilimali za Tanganyika kwa wazanzibari.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi...
Bahati niliwahi kingia kanisan na wanaaake wawili
Wa kwanza alivyontesa kkaenda mahakaman tukamalizana n katakiri kadogo kaurithi wa wazazi bahati nilikawahi sikukaa mwezi nkakimbia nikimwachia...
Lissu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomeshwa na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Chekechea na Primary nimesoma english medium private.
Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana.
Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
Wanakumbi
⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel...
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.