Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

14 April 2024 KUHUSU UHALIFU NA UPOTOFU ''Crime & Deviance'' Mchambuzi na mtafiti wa masuala mbalimbali ya kijamii mwana sociolojia Bw. Bituro Paschal Kazeri...
0 Reactions
4 Replies
28 Views
Nilikuwa nikifikiri ni Quora pekee ndiyo jukwaa ambalo mada zinajadiliwa kistaarabu na "seriously", lakini sasa nimeshaibadili mtazamo. Nimekutana na mada ya toka mwaka 2012 ambayo imeendelea...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
209K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...
1 Reactions
5 Replies
30 Views
Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
1 Reactions
3 Replies
72 Views
Habari za wakati huu Wana jukwaa hili. Leo nimekuja hapa na hoja ya matumizi ya mali za Umma katika shughuli za Chama chochote cha siasa. Wote tunajua kuwa siyo sahihi na ni kosa kisheria, mali...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini?? Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana...
4 Reactions
102 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu...
10 Reactions
141 Replies
4K Views
Moja kati ya watu Ambao nlipinga sana kubinafsishwa kwa Bandari basi mimi ni mmojawao sikupenda kabisa huu mpango, Lakini nilipokaa na kukumbuka kipindi najitafuta nikiwa nafanya Vibarua Bandarini...
0 Reactions
5 Replies
51 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,400
Posts
49,572,547
Members
667,903
Latest member
kipscalich
Back
Top Bottom