Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja
Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa...
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini
Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi...
Habari zenu wakuu,natumaini mko poa kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili swala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi ? ,kama linafanya kazi stakeholder na...
Mwezi ni nguvu ya asili yenye kuleta giza ndiyo nishati inayotupatia wakati wa usiku.
Mwezi ni jumla ya wiki nne ambapo kuna siku takribani 30/31/29 na kwa mwaka mzima tunapata miezi 12.
Wazungu...
Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji.
Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es...
Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.