Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Pamoja na juhudi zote anazozionesha uwanjani, Rastamani analamba 4m tu, ila yule mmakonde ambaye anasugua benchi analamba mil 25.. Rastaman ameona mchango wake hauthaminiwi hivyo kaamua kusinya...
13 Reactions
26 Replies
723 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
15 Reactions
57 Replies
552 Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zitto Kabwe amepost logo ya ACT-Wazalendo na kuandia ushairi huu; "Huzuni imenijaa Machoji yamejaa Moyoni kumepwaa Kukuacha hatimaye "Mlongo umenifaa Umekuwa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Haya ndio madhara ya kimbunga hidaya,kinadada wavaa mawigi wadhalilika vibaya sana!
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Itabidi wafurushwe na kurejeshwa kwenye nchi zao..... New York City officials say nearly half of the 282 people arrested at pro-Palestinian protests on two campuses this past week are not...
0 Reactions
4 Replies
95 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
10 Reactions
79 Replies
1K Views
Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa misimu ya ligi mbalimbali za mpira wa miguu duniani, huu ni uzi maalum wa kuhabarishana, kuzitambua, kutoa pongezi na kuzikaribisha timu zilizofanikiwa kupanda...
1 Reactions
1 Replies
29 Views
Kama ni Kweli Chadema walishauri Vyama vingine visiingizwe kwenye Mijadala wa Marekebisho ya NEC bali Wawe Wao na CCM tu, basi demokrasia ya nchi yetu ipo mbali Wengi tulihoji hapa Jf Kwanini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu maswala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz...
0 Reactions
7 Replies
8 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views

FORUM STATS

Threads
1,851,351
Posts
49,571,196
Members
667,892
Latest member
bwanautamu12
Back
Top Bottom