Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zilikuja Mafia kuvua boti za fery Dar mpaka sasa bila bila huku watu wa fery poleni.
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea...
4 Reactions
5 Replies
6 Views
Huu ni mtego, Hawa utopolo hawana nia yoyote yakusajili wachezaji wa Simba. Wanachokifanya ni kuupanikisha uongozi wa Simba ili ufanye makosa tena na kuwapa mikataba minono wachezaji mizigo kama...
4 Reactions
13 Replies
268 Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
19 Reactions
237 Replies
2K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Tuskilize Muziki Mzuri. https://youtu.be/SwY1pFzE8gU?si=aNUig-Pu7mkWV5re
0 Reactions
0 Replies
1 Views
CHADEMA imedhihirisha kuwa inachukia matendo maovu, na kwenye uovu wamedhihirisha hawana subira wala simile, hawaangalii anayefanya hilo ni wa chama chao au mtu wa nje. CHADEMA imejitofautisha...
2 Reactions
6 Replies
70 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,331
Posts
49,570,860
Members
667,862
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom