Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii. Mfano. Ali kiba Diamond platnumz Haji manara...
2 Reactions
38 Replies
496 Views
Wakuu habari za jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
15 Reactions
77 Replies
2K Views
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
9 Reactions
174 Replies
3K Views
Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba. Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote...
1 Reactions
5 Replies
89 Views
1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel: 2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago? 3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao...
0 Reactions
15 Replies
242 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Siyo ajabu wengi hawatanielewa. Neno "Awamu" katika uongozi nchini Tanzania halieleweki kwa watu wengi. Sababu kuu ni kutokana na upotoshaji wa makusudi. Tafsiri ya awamu ni kipindi cha uongozi wa...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
41 Reactions
207 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,440
Posts
49,574,523
Members
667,954
Latest member
Nyamilama Jr
Back
Top Bottom