Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hawa wakiruhisiwa kuwaza urais naomba watanzani muwakatae mana wa umaguli ndani yao. Na mnajua ndani ya miaka mitano jinsi jpm alivyotorture watu na nchi. No ajira at all for five years. 1...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanaume wenzangu hivi unapomfunua msichana ukamkuta Bikra inaweza kuwa sababu ya kumuamini kuwa umepata binti mwenye kujielewa na kuhifadhi tupu yake?au ni magumashi?
2 Reactions
7 Replies
8 Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
15 Reactions
88 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Wakuu habari za jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
0 Reactions
9 Replies
62 Views
MUONGOZAJI na mtayarishaji wa video za muziki nchini, Khalfani Khalmandro DAR ES SALAAM: MUONGOZAJI na mtayarishaji wa video za muziki ‘vichupa’ nchini, Khalfani Khalmandro amefariki dunia...
0 Reactions
6 Replies
167 Views
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini?? Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana...
4 Reactions
111 Replies
3K Views
Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
2 Reactions
25 Replies
399 Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa; "Nyie wapumbavu lazima muongeleswe kipumbavu, machadema nyie ni mapumbavu kabisa kabisa bora vyama vingine vijipange vitaitwa upinzani sio...
16 Reactions
123 Replies
3K Views
Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,444
Posts
49,574,664
Members
667,955
Latest member
Nyamilama Jr
Back
Top Bottom