Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa...
7 Reactions
51 Replies
497 Views
Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
13 Reactions
167 Replies
977 Views
Huyu pia ni miongoni mwa watu wenye bahati za juu duniani Frane Selak alizaliwa tar 14/6/1929 nchini Croatia kitaaluma ni mwalimu wa mziki .....kwanini ameingia kwenye orodha ya kuwa ni miongoni...
1 Reactions
6 Replies
115 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha...
1 Reactions
3 Replies
34 Views
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana Nawatakia Dominica Njema 😄
4 Reactions
48 Replies
266 Views
Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa. Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu...
0 Reactions
4 Replies
32 Views
Tukio hili lilitokea November 17, lakini limeibuliwa jana 4/5/2024 kama tukio jipya. Je, walioibua tukio hili na kusema ni ya karibuni walikuwa na nia gani? ===== Katibu wa baraza la vijana wa...
0 Reactions
26 Replies
449 Views
Leo mnamo tarehe 3/5/2024 ni siku amabayo uchaguzi wa chuo kikuu ardhi ulipaswa kufanyika kulingana na almanac ya chuo na taarifa hio wamafunzi wote walikua nayo na wagombea walijipanga kwa ajili...
1 Reactions
10 Replies
199 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,303
Posts
49,569,722
Members
667,868
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom