Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje zanzibar.hata ule msemo wa kwenye bible kuwa hasiyefanya kazi asile aje unguja atengue...
2 Reactions
24 Replies
242 Views
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi...
17 Reactions
108 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar bwana Abbas Mtevu amewataka wajumbe wenye dhamana ya kupitisha wagombea wa Ubunge na udiwani kupitisha wagombea ambao wanakubalika Kwa Wananchi vinginevyo...
1 Reactions
3 Replies
6 Views
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo...
1 Reactions
2 Replies
35 Views
Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa...
0 Reactions
6 Replies
439 Views
Wana jamii forum Kuna watu wanauza mashamba morogoro eneo linaitwa bwanani karibu na bar inaitwa MV mapenzi.. Ukifika mkundi mwisho unaelekea mashariki. Je maeneo hayo ni salama kwa kununua. Au...
0 Reactions
8 Replies
67 Views
TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW' Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen...
18 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha...
61 Reactions
231 Replies
10K Views
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror...
2 Reactions
2 Replies
69 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,246
Posts
49,567,921
Members
667,847
Latest member
madoree
Back
Top Bottom