Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana. Wenzangu mmewahi kumbana na hili? Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
4 Reactions
15 Replies
107 Views
Habari za weekend wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima… Niende kwenye mada, nina eneo la kutosha na lenye banda la kisasa maeneo ya CHANIKA-Dar nimeanza ufugaji wa Ng’ombe kwasasa yupo mmoja...
0 Reactions
3 Replies
45 Views
Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e...
36 Reactions
2K Replies
562K Views
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
1 Reactions
31 Replies
169 Views
Siku ya jana Kanisa la wasabato mafia limebomolewa na kimbunga cha hidaya Siku ya jana pia mvua zimebomoa msikiti saudi arabia Binafsi najiuliza Mungu mwenye nguvu mbona hazilindi nyumba...
-1 Reactions
4 Replies
8 Views
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
3 Reactions
61 Replies
799 Views
Wapi naweza kumpata dalali Arusha ili niweze kutafuta nyumba ya kukàa? Nyumba ya kupangisha, siyo kasri.
0 Reactions
4 Replies
40 Views
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa: Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
6 Reactions
110 Replies
2K Views
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa...
2 Reactions
30 Replies
276 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views

FORUM STATS

Threads
1,851,194
Posts
49,567,081
Members
667,816
Latest member
mambatz
Back
Top Bottom